Chuo Kikuu cha Mauritius

Pitio kulingana na tarehe 14:37, 14 Julai 2024 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Chuo Kikuu cha Mauritius (UoM) (Kifaransa: Université de Maurice) ni chuo kikuu cha kitaifa cha Morisi. Ni chuo kikuu cha zamani zaidi na kikubwa zaidi nchini kwa idadi ya wanafunzi na mitaala inayotolewa. Kampasi kuu ya chuo kikuu cha umma iko Réduit, Moka.[1]

  1. www.uom.ac.mu/CITS/index.html