Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Fransisko wa Asizi

[hariri chanzo]

Riccardo, salam. Nd. Riccardo, ile makala ya Fransisko wa Asizi, umeandika safi sana na inaeleweka. Lakini je vipi kuhusu mwaka aliozaliwa huyu bwana unaujua? Natumai utakuwa umeitafsiri kutoka wiki zingine ama sivyo? Natumai ndivyo!! Basi kama utaweza kuandika mwanzo kabisa mwaka aliozaliwa itakuwa bora zaidi. Labada nikupe mfano mdogo: Fransisko wa Asizi (tarehe na mwaka aliozaliwa) alikuwa mtakatifu kutoka nchini Italia. Asizi alizaliwa katika mkoa wa Umbria, wilaya ya Perugia, Italia.... Kisha unaweka kama ndugu na mambo mengine!! Haya basi kama hujaelewa labda umwulize Kipala atakupa habari zaidi!! Kingine usisahau kuweka InterWiki katika makala yako kama ipo katika wiki zingine-[[it:Fransisko of Asizi]] (sijui kwa lugha ya Kitaliano wanahitaje) lakini inategemea na lugha vyovyote vile inaswihi. Kingine kuweka vichwa katika makala, hili nenda kaangalie makala yako utaona nimefanya vipi mpaka kimekuja kichwa cha habari-Fransisko wa Asizi. Sina mengi na nakutakia kheri ya mwaka mpya na furaha tele moyoni!!--Mwanaharakati 05:08, 7 Januari 2008 (UTC)[jibu]

Kuna kitu nimesahau kukueleza. Kuweka jamii au category katika makala, mfano: [[Category:Watakatifu wa Italia]] au [[Category:Watakatifu]] na nyingine ya mwaka aliozaliwa -unaweka mabano kama hayo kisha unaadika (Waliozaliwa 19 na...) kama kafa unaandika Waliofariki (mwaka aliokufa). Natumai utakuwa umeelewa!!--Mwanaharakati 05:20, 7 Januari 2008 (UTC)[jibu]


Inquiry

[hariri chanzo]

Hello Riccardo. I've seen in article's history (Tafsiri ya Vishazi na Virai ...) that you removed the image that goes with the article. I thought it's a good Wikipedia practice to communicate with you to inquire for the reason. Dee Soulza (majadiliano) 18:03, 8 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Yes, it's a good practice. The reason is that the image was not more visible. I don't know why, but if you can restore its visibility, let you do. Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 04:56, 9 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Hi Ricardo! helped me to add this Linguistic map of the Sumbawa language to Wikipedia English for the Sumbawa language thanks.

Areas where Sumbawa language is spoken

140.213.127.134 16:51, 15 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Why don't you yourself add it? I see there a editing war... Peace to you! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:21, 16 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Ha ha ha h aha... Umeona siwe tabu. Dah! Muddyb Mwanaharakati Longa 10:00, 20 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Ndugu Riccardo Riccioni,

Unadhani una muda wa kupitia makala za msingi? Pengine ukatafsiri vichwa vya makala? Nitaangalia namna ya kujaza makala hayo. Lakini nitahakikisha yanakuwemo humu. Unisamehe sana kwa usumbufu. Muddyb Mwanaharakati Longa 09:59, 20 Juni 2024 (UTC) [jibu]

Ndugu, kazi hiyo ni kubwa sana, ila bahati nzuri tulikwishafanya mimi na marehemu wetu mpenzi Kipala. Tazama: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo, Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanuliwa, Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000. Sijui kwa nini wanaoandaa edithatons wanaelekeza wahariri wapya kuandika makala juu ya watu wasiojulikana sana au ni maarufu kwa ushoga wao badala ya kutunga kurasa hizi za msingi... Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:50, 23 Juni 2024 (UTC)[jibu]

Unisamehe kwa kutunza kumbukumbu zako nje ya mfuko wa majadiliano

[hariri chanzo]

Ndugu Riccardo,

Kama umetambua hivi sasa majadiliano yako yanaonekana kiduchu sana. Nimeyahifadhi katika nyaraka zako kwa vile ni muhimu sana ziwepo. Pia unisamehe kwa kuja nyumbani na kuvunja vitu pasipo-adabu! Muddyb Mwanaharakati Longa 07:43, 23 Juni 2024 (UTC) [jibu]

No problem! Tuko pamoja. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:50, 23 Juni 2024 (UTC) [jibu]

Pendekezo la kuondoa wakabidhi

[hariri chanzo]

Ndugu Riccardo,

Kuna pendekezo hapa. Naomba upige kura; https://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wakabidhi#Pendekezo_la_kuondoa_WAKABIDHI_wasio_hai

Amani kwako. Muddyb Mwanaharakati Longa 06:11, 8 Julai 2024 (UTC) [jibu]

Deleting files

[hariri chanzo]

Hello! I can't find the administrators notice board so I write to you because you are the most active admin. All files need a valid license and I noticed that a number of files on Maalum:FailiZisizotumika does not have a valid license.

Some have been nominated for deletion and can be seen in Jamii:Makala kwa ufutaji. Perhaps you can have a look and delete the files? The files in Jamii:NowCommons can most likely also be deleted.

Also GFDL is not a good license for media files so perhaps you can remove it from MediaWiki:Licenses? --MGA73 (majadiliano) 17:45, 17 Agosti 2024 (UTC)[jibu]