Nenda kwa yaliyomo

Metacha Mnata : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Added content
Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
Alama za uandishi
Tags: KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu Uhariri wa hali ya juu wa rununu
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''Metacha Boniphace Mnata''' (amezaliwa [[25 Novemba]] [[1998]]) ni [[mchezaji]] wa [[kandanda]] au mpira wa miguu akiichezea [[klabu]] ya [[Yanga Sc]] ya [[Tanzania]] kwa mkopo kutokea klabu ya Singida Big Stars na [[timu ya taifa]] ya Tanzania [[Taifa Stars]].

Metacha mnata amewahi kuzichezea klabu za Azam Fc, Mbao Fc na Yanga Sc yenyewe kabla ya kujiunga na Polisi Tz na baadae kuitumikia Singida Big Stars
Metacha mnata amewahi kuzichezea klabu za Azam Fc, Mbao Fc na Yanga Sc yenyewe kabla ya kujiunga na Polisi Tz na baadae kuitumikia Singida Big Stars

Toleo la sasa la 12:25, 20 Januari 2024

Metacha Boniphace Mnata, (amezaliwa 25 Novemba 1998) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania kwa mkopo kutokea klabu ya Singida Big Stars na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars. Metacha mnata amewahi kuzichezea klabu za Azam Fc, Mbao Fc na Yanga Sc yenyewe kabla ya kujiunga na Polisi Tz na baadae kuitumikia Singida Big Stars

Metacha Boniphace Mnata anacheza nafasi ya mlinda mlango.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Metacha Mnata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.