Nenda kwa yaliyomo

Kikaliko : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Kikaliko (lugha) umesogezwa hapa Kikaliko: mabano siyo lazima
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q14030078
Mstari 12: Mstari 12:
[[Jamii:Lugha za Uganda]]
[[Jamii:Lugha za Uganda]]
[[Jamii:Lugha za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]
[[Jamii:Lugha za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]

[[en:Kaliko language]]

Pitio la 06:09, 23 Agosti 2013

Kikaliko ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakaliko. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikaliko nchini Sudan imehesabiwa kuwa watu 10,000. Pia kuna wasemaji 7,500 nchini Kongo na 5,000 nchini Uganda. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaliko kiko katika kundi la Kimoru-Madi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaliko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.