Nenda kwa yaliyomo

Ufafanuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 15:06, 28 Agosti 2017 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ufafanuzi''' (kutoka kitenzi "kufafanua") ni kazi ya kueleza wazi maana ya maneno kadhaa, kwa mfano ya sheria, au vitabu vya d...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Ufafanuzi (kutoka kitenzi "kufafanua") ni kazi ya kueleza wazi maana ya maneno kadhaa, kwa mfano ya sheria, au vitabu vya dini, falsafa n.k.

Ufafanuzi sahihi una masharti yake unaohusu kwanza misingi yenyewe ya fani hizo.

Msimamo wa kutokubali ufafanuzi wowote unatambulisha "itikadi kali".

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufafanuzi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.