Nenda kwa yaliyomo

Richard Axel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:44, 21 Julai 2020 na Kevin Matola (majadiliano | michango) (+image #WPWP WPWPTZ)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Richard Axel

Richard Axel (amezaliwa 2 Julai, 1946) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa kunusa. Mwaka wa 2004, pamoja na Linda Buck, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Axel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.