Nenda kwa yaliyomo

Waraka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 08:16, 29 Mei 2024 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Masahihisho aliyefanya 41.80.114.146 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Waraka wa karatasi.

Waraka (kwa Kiingereza: document) ni hati yenye taarifa maalumu. Kwa kawaida, siku hizi waraka unaandikwa katika karatasi.

Katika Biblia ya Kikristo mna nyaraka mbalimbali ambazo pamoja na barua zinafikia idadi ya 21, kwa mfano: Waraka kwa Waebrania.

Katika utarakilishi, waraka pepe (kwa Kiingereza: electronic document) ni hati pepe inayotumika katika tarakalishi. Waraka pepe ni kama waraka wa kawaida ila data ni za elektroniki.

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).