Nenda kwa yaliyomo

Howey Ou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:48, 15 Juni 2024 na AMATUS MGONDA (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Howey Ou''' ni mwanaharakati wa mazingira wa nchini China, ambaye aliandaa mgomo wa shule kwa ajili ya hali ya hewa huko Guilin kusini mwa China, akitaka hatua zaidi zichukuliwe ili kupunguza utoaji wa gesi joto na hivyo mabadiliko ya hali ya hewa nchini China . .<ref>{{Cite news |author=Elena Morresi |title=Howey Ou: China's first school climate striker – video profile |newspaper=The Guardian |url=https://www.theguardian.com/world...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Howey Ou ni mwanaharakati wa mazingira wa nchini China, ambaye aliandaa mgomo wa shule kwa ajili ya hali ya hewa huko Guilin kusini mwa China, akitaka hatua zaidi zichukuliwe ili kupunguza utoaji wa gesi joto na hivyo mabadiliko ya hali ya hewa nchini China . .[1]

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Howey Ou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.