Nenda kwa yaliyomo

Aleksander Prokhorov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 20:16, 20 Desemba 2006 na Baba Tabita (majadiliano | michango) (New page: left|80px '''Aleksander Mikhailovich Prokhorov''' (amezaliwa 11 Julai, 1916) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mionzi ya ain...)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Aleksander Mikhailovich Prokhorov (amezaliwa 11 Julai, 1916) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua leza. Mwaka wa 1964, pamoja na Nikolai Basov na Charles Townes alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.