Nenda kwa yaliyomo

Pompei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:05, 23 Agosti 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q43332)
Altari mbele ya nyumba ya Herculaneum iliyofunuliwa

Pompeii ilikuwa mji wa Roma ya Kale uliopo katika Italia ya kusini karibu na mji wa Napoli ya leo.

Mlipuko wa volkeno mlima Vesuvio uliotokea tarehe 24 Agosti 79 BK ulifunika mji wote pamoja na mji wa jirani Herkulaneo na ganda nene la majivu na lava.

Watu wengi waliuawa na wachache waliweza kukimbia.

Kuna taarifa kamili ya uharibifu wa Pompei kwa sababu mwandishi Mroma Plinio Kijana alitazama matokeo kutoka baharini kuna barua kadhaa ambamo alieleza alichoona.

Tangu karne ya 18 maghofu ya Pompei yalifunuliwa tena polepole. Nyumba pamoja na vifaa zilihifadhiwa vizuri sana chini ya majivu zinaleta picha nzuri ya maisha ya Roma ya Kale.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pompei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA

      MJI HUO UMEWEKA KAMA HISTORIA NA KUMBUKUMBU YA WAROMA, mnamo karne ya 16BC, watu waliokuwa wakiishi katika mji huo walitumia lugha mbalimbali jama Kiebrania na lugha za kiyunani. katika karne ya 15BC mji wa POMPEI ULIANZA KUJENGEKA ....... jamii zilianza kuishi katika mji huo na kuanzisha makazi na kufanya kazi kwa bidii na kuujenga mji ws POMPEI. Hata hivyo waskati vokkano inalipuka katika mji huo, tartari ulikuwa umejengekla sana . MUANDISHI mmoja wa ITALIA aliandika kuhusu mlipuko huo na kutoa ufafanuzi juu ya janga hilo , alisema katika jarida lake "watu wengi walipoteza maisha katika tukio hilo na nbi nusu ya mji huo wa POMPEI, japo kuna walio fanikiwa kukimbia na kuokoka < watoto na wanawake ndio walio dhurika zaidi, pia wazee na wasiojiweza," alimalizia kwa kusema kuwa pamoja na yote , mji wa WA POMPEI umejengeka upya tena , Hata hivyo mwandishi huyo alitoa tathimjkini juu ya tukio, lililojitokeza karne nyingi zilizopita kuwa hakuna madhara mabaya kama hayo ajali mbaya ya volkano , kwani majivu, joto, vumbi lililotanda liliwapa kizuizi cha kukimbia na kujiokoa wa na familia zaO, LEO POMPEI NI ,MJI WA KIHISTORIA UNAOTEMBELEWA NA WATALII KUTOKA NDANI NA NJE 

WATALII ZAIDI YA MILIONI 7 HUTEMBELEA MJI HUO WA KIHISTORIA KWA MWAKA.