Nenda kwa yaliyomo

Felix Christopher Mrema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.

Felix Christopher Mrema (amezaliwa tar. 3 Agosti 1946) ni mbunge wa jimbo la Arusha katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

Marejeo

  1. "Mengi kuhusu Felix Christopher Mrema". 4 Oktoba 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.