Nenda kwa yaliyomo

Kikaco'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.

Kikaco' ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Kamboja inayozungumzwa na Wakaco'. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikaco' imehesabiwa kuwa watu 3370. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaco' iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaco' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.