Nenda kwa yaliyomo

Tatu Mussa Ntimizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.

Tatu Mussa Ntimizi (amezaliwa tarehe 9 Aprili, 1946) ni mbunge wa jimbo la Igalula katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha Mapinduzi CCM.

Tazama pia

Marejeo

  1. "Mengi kuhusu Tatu Mussa Ntimizi". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.