Wilaya ya Kakamega
Wilaya ya Kakamega ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Kakamega | |
Wilaya ya Kakamega katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Kakamega |
Eneo | |
- Jumla | 3,033.8 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,660,651 |
Makao makuu yalikuwa mjini Kakamega.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kakamega.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kakamega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |