Nenda kwa yaliyomo

Dada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:25, 18 Julai 2015 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mabinti Benzon walivyochorwa na Peder Severin Krøyer.

Dada ni jina ambalo linatumika tu kwa ndugu wa jinsia ya kike tu.

Jina hilo laweza kutumika kuanzia kwa mtoto mwenye umri mdogo hadi mkubwa, bali hutumika pia kuonyesha heshima kwa mwanamke mkubwa.