Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Sanaag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Sanaag katika ramani ya Khatumo.
Mlima Daallo, Sanaag.

Sanaag (kwa Kisomali: Sanaag, kwa Kiarabu: سناج) ni mkoa (gobol) uliopo kaskazini mwa jimbo la Khatumo, ni kati ya mikoa inayojitegemea kiutawala ndani ya Somalia ingawa inagombaniwa na Somaliland na Puntland.[1]

Sanaag ina pwani ndefu inayoangalia Ghuba ya Aden kwa upande wa kaskazini, na imepakana na mikoa ya Woqooyi Galbeed, Togdheer, Sool na Bari

Mji mkuu wake ni Erigavo.

Tanbihi

Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sanaag kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.