Nenda kwa yaliyomo

Idd Mohamed Azzan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Iddi Mohamed Azzan)

Idd Mohamed Azzan (amezaliwa tar. 8 Oktoba 1965) ni Mbunge wa jimbo la Kinondoni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Iddi Mohamed Azzan". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]