Naruhito (徳仁, inatamkwa naɾɯçi̥to (alizaliwa 23 Februari 1960) ni Mfalme wa Japani tangu 1 Mei 2019.

Naruhito


126 Kaisar ya Japani
Aliingia ofisini 
1 Mei 2019
mtangulizi Akihito

tarehe ya kuzaliwa 23 Februari 1960 (1960-02-23) (umri 64)
Tokyo
utaifa Japan
ndoa Masako
dini Shinto

Angalia pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Naruhito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.