Nenda kwa yaliyomo

Vitellius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:30, 28 Septemba 2019 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Shaba inayoonyesha Kaizari Vitellius

Aulus Vitellius Germanicus (24 Septemba, 1522 Desemba, 69) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kwa miezi michache kuanzia 17 Aprili, 69 hadi kifo chake. Alimfuata Otho.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vitellius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.