Nenda kwa yaliyomo

Chama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:35, 10 Februari 2021 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Masahihisho aliyefanya 41.222.179.18 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mkutano mkuu wa mwaka wa chama kidogo cha kujitolea (Monaro Folk Society). Walioketi ni viongozi wa chama.
John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, chama tawala nchini Tanzania.

Chama ni kundi la watu wanaoungana kwa kusudi la kushirikiana ili kufikia lengo fulani, ambalo linaweza kuwa la aina nyingi tofauti, kwa mfano: dini, elimu, siasa, sanaa, michezo n.k.

Idadi ya wanachama inaweza kuwa tofauti sana, kuanzia wachache hadi milioni kadhaa.

Kwa kawaida chama kina uongozi wake unaopatikana kwa kufuata taratibu maalumu.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.