Nenda kwa yaliyomo

Pawel Fajdek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 10:24, 10 Septemba 2022 na Coder Junior (majadiliano | michango) (Kuongeza picha)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Paweł Fajdek mnamo 2015
Paweł Fajdek mnamo 2015

Paweł Fajdek (alizaliwa 4 Juni 1989) ni mrusha nyundo wa Poland mwenye mrusho bora wa mita 83.93 (9 Agosti 2015, Janusz Kosocinski Memorial huko Scezecin). Ni Bingwa wa Dunia mara nne katika mchezo huu.