Nenda kwa yaliyomo

Jordan Riber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:59, 12 Februari 2023 na Greatfully (majadiliano | michango) (nimebadilisha neno ilIYokuwa kuwa iliyokuwa ili kufanikisha kazi ya makala hii zaidi na ubora wake.)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Jordan Riber ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandishi wa miswada ya filamu wa Kitanzania mwenye asili ya Mzimbabwe.

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Riber alizaliwa katika familia ya son John na Louise Riber ambao wote ni wanafamilia katika mambo ya filamu; alikulia katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare na muda mwingi aliutumia katika kujifunza masuala ya utengenezaji wa filamu. Mwaka 2004 alimaliza masomo yake katika chuo cha Fairhaven College, nchini Marekani alikosomea mambo ya utayarishaji wa filamu.[1]

Mwaka 2012, aliongoza tamthilia ya Siri ya Mtungi, iliyokuwa na nyota kama Cathryn Credo, Beatrice Taisamo, Yvonne Cherrie na wengine.[2] tamthilia ambayo ilichaguliwa kama tamthilia bora katika tuzo za 2014 Africa Magic Viewers Choice Awards (AMVCA).[3]

Mwaka 2017 aliongoza filamu ya Hadithi za Kumekucha: Tunu.[4]

Mwaka 2018 aliongoza filamu nyingine ya Hadithi za Kumekucha:Fatuma aliyoitarisha na kuihariri yeye mwenyewe, ambao nyota wake walikuwa ni Cathryn Credo ,Beatrice Taisamo na Ayoub Bombwe.[5][6] Mwaka huohuo alitayarisha na kuongoza filamu ya Bahasha, iliyochezwa na Ayoub Bombwe, Godliver Gordian, Omary Mrisho na Cathryn Credo.[7][8][9]

  1. "Out of Africa". Alumni WWU. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Siri Ya Mtungi". Worldcat. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Colins, Charles (Desemba 10, 2013). "Photos From Africa Magic @10 And AMVCA Nominee Announcement [KCee, Yvonne Okoro]". Gistmania. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "SGS Summer Film Festival: Hadithi Za Kumekucha: Tunu". Stanford University. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Fatuma: Feature | Narrative". PAFF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-09. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Fatuma". Chicago Reader. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Bahasha (2018)". IMDb. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "BAHASHA". Toronto International Black Film Festival. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Talent Factory: Catherin Credo". Dar es Salaam: Multichoice Africa. Iliwekwa mnamo Novemba 10, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jordan Riber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.