Nenda kwa yaliyomo

Dogo Janja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdulaaziz Chande (alizaliwa mnamo Septemba 15, mwaka 1994) anajulikana sana kwa jina la kisanii Dogo Janja, ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo wa Tanzania. Alizaliwa na kukulia katika kata ya Ngarenaro katika jiji la Arusha. Kwa sasa anaishi katika jiji la Dar es Salaam.

Kuvutiwa kwake na muziki kulianza mapema, lakini kuachiliwa kwake kwa mara ya kwanza kulikuja mnamo mwaka 2016 aliposainiwa na Kundi la Tip Top Connection, lililoanzishwa na Babu Tale, na hapo awali lilikuwa na wasanii wengine mashuhuri wa Bongo Flava kama vile Rayvanny.[1] Toleo lake la kwanza My Life mnamo mwaka 2016 lilipokelewa vyema, na hivyo kuanzisha jina lake kama msanii.

Maisha binasfi

[hariri | hariri chanzo]

Mnao mwaka 2018 alifunga ndoa na staa wa Bongo movie Irene Uwoya,[2], mpenzi wa zamani wa Diamond Platnumz.[3]

Discografia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Tatizo Pesa
  • 2016: My life
  • 2017: Ngarenaro
  • 2017: Ukivaaje Unapendeza
  • 2018 Banana
  • 2018: Mikogo Sio
  • 2018: Wayu Wayu
  • 2018: Since Day One
  • 2019: Yente
  • 2020: Asante ft Lady Jaydee
  1. - SWAHIBA, BLOG. "Babu Tale kumfanya dogo Janja aimbe,mwenyewe amesapoti hilo". swahibanewz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-27. Iliwekwa mnamo 1 Agosti 2019. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. The Citizen (4 Mei 2018). "Irene and Dogo Janja aiming for a collabo". The Citizen. Iliwekwa mnamo 1 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Mwarua, Douglas (31 Oktoba 2017). "Diamond's hot ex-girlfriend exchanges marital vows with an under age rapper". Tuko.co.ke – Kenya news. Iliwekwa mnamo 1 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Mkito.com. "Dogo Janja". mkito.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-11. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2019. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)