Nenda kwa yaliyomo

Haris Belkebla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Haris Belkebla

Haris Belkebla (alizaliwa 28 Januari 1994) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Algeria ambaye anacheza kama kiungo wa klabu Brest katika Ligi Ya 1 na timu ya taifa ya Algeria.

Ushiriki Katika Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Belkebla ni Mzaliwa wa La Courneuve, [1] Belkebla alianza kazi yake katika safu ya vijana wa klabu ya Boulogne kabla ya kujiunga na klabu ya Valenciennes mnamo 2012. [2]

Ushiriki Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Oktoba 2012, Belkebla aliitwa kwenye timu ya taifa ya Algeria ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa mara ya kwanza katika maandalizi ya Mashindano ya U-20 ya Afrika mwaka 2013.

Maisha Binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Belkebla ni mpwa wa mwanasoka wa zamani Youssef Belkebla, ambaye alichezea klabu ya Red Star na Saint-Étienne. [3]

Takwimu Za ushiriki

[hariri | hariri chanzo]

Klabu Hadi mechi iliyochezwa tarehe 14 Agosti 2022

  1. "Harris Belkebla : " J'ai tout de suite eu le déclic quand j'ai été reçu à Boulogne "" (kwa Kifaransa). La Voix du Nord. 21 Februari 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Mei 2015. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Portrait : Haris Belkebla" (kwa Kifaransa). Tours FC. 13 Januari 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "EN U20 : Liste des 25 joueurs convoqués au stage de Lisses" (kwa Kifaransa). La Gazette du Fennec. 11 Oktoba 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haris Belkebla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.