Nenda kwa yaliyomo

Kiwakawaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kiwakawaka (rangi nyekundu)

Kiwakawaka ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawakawaka katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwakawaka wawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwakawaka kiko katika kundi la Kiwaka-Kabiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwakawaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.