Nenda kwa yaliyomo

Lyudmila Alexeyeva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lyudmila Alexeyeva

Lyudmila Mikhaylovna Alexeyeva (20 Julai 1927 - 8 Desemba 2018 alikuwa mwanahistoria wa urusi na mwanaharakati wa haki za binadamu ambaye alikuwa mwanachama mwanzilishi wa kundi la waangalizi wa Helsinki la Moscow mwaka 1976 [1] na mmoja wa wapinzani wa mwisho wa usovieti.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lyudmila Alexeyeva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.