Nenda kwa yaliyomo

Mariem Houij

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mariem Houij

Mariem Houij (alizaliwa Agosti 8, 1994) ni mchezaji wa soka nchini Tunisia. Mariem anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu ya Wanawake nchini Uturuki inajulikana kama Galatasaray pamoja na timu ya taifa ya Tunisia.[1].[2]

  1. "Mariem Houij" (kwa Kijerumani). soccerdonna.de. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Galatasaray Petrol Ofisi'nden 6 imza birden!". Galatasaray S.K. 4 Agosti 2023. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mariem Houij kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.