Nenda kwa yaliyomo

Prince William

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Prince William (2018)

Prince William, KG, KT, ADC (William Arthur Philip Louis, Dyuki wa Cambridge; alizaliwa 21 Juni 1982) ni mtoto mkubwa wa mfalme wa Uingereza, Charles III na Diana, aliyekuwa Kibibi wa Wales.

Tangu kuzaliwa, alikuwa wa pili katika kutakiwa kumrithi bibi yake Elizabeth II, malkia wa Uingereza na maeneo mengine 15 ya Jumuiya ya Madola.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Prince William kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.