Nenda kwa yaliyomo

Steven Alfred

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Steven Alfred

Steven Alfred (alizaliwa 11 Oktoba 1997) ni mwanasoka wa Nigeria ambaye anachezea timu ya Israeli ya Hapoel Hadera.

Ushiriki Katika Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Alfred alicheza mechi yake ya kwanza katika Ligi ya Kitaifa ya Soka ya Urusi kwa PFC Sochi tarehe 16 Machi 2019 katika mchezo dhidi ya klabu ya FC Krasnodar-2. [1]

Tarehe 5 Julai 2019, Alfred alijiunga na klabu ya FC Pyunik kwa mkopo. [2][3] Pia tarehe 26 Januari 2021, Alfred aliondoka Pyunik kwa makubaliano na klabu hiyo. [4]

  1. "Game Report by FNL". 16 Machi 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Սթիվեն Ալֆրեդը և Ալեքսանդր Գալիմովը' "Փյունիկի" ֆուտբոլիստներ". fcpyunik.am/ (kwa Armenian). FC Pyunik. 5 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. "Стивен Альфред переходит в "Пюник"" [Steven Alfred moves to Pyunik] (kwa Russian). 6 Julai 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-24. Iliwekwa mnamo 2023-06-14.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. "Stephen Alfred left Pyunik". fcpyunik.am. FC Pyunik. 26 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 27 Januari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Alfred kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.