Nenda kwa yaliyomo

Kié-Ntem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kié-Ntem
Mahali paKié-Ntem
Mahali paKié-Ntem
Nchi Equatorial Guinea
Makao makuu Ebebiyín
Eneo
 - Jumla 3,943 km²
Idadi ya wakazi (2015)
 - Wakazi kwa ujumla 183,331[1]

Kié-Ntem ni mkoa wa Guinea ya Ikweta . Mji mkuu wake ni Ebebiyín .

Mkoa huo ni sehemu ya kanda la Rio Muni lililopo kwenye sehemu ya bara ya nchi. Kié-Ntem inapakana na tarafa zifuatazo za nchi:

Mkoa ulichukua jina lake kutoka Mto Kié na Mto Ntem (Campo).

  1. "Censo de población 2015–República de Guinea Ecuatorial" (PDF) (kwa Kihispania). INEGE. uk. 7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 8 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 8 Oktoba 2017. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)