Nenda kwa yaliyomo

Mohamed El Arouch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohammed El Arouch (alizaliwa 6 Aprili 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa.[1]

  1. Razik Brikh (2020-12-25). "OL : Mohamed El Arouch, le gone d'adoption". Olympique & Lyonnais (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed El Arouch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.