Nenda kwa yaliyomo

Port of Spain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Port of Spain

Port of Spain ni mji mkuu wa nchi ya Trinidad na Tobago.

Idadi ya wakazi ni watu 49,031; pamoja na sehemu za nje inafika nusu milioni[1]. Ni mji wa tatu kwa ukubwa nchini. Ilikuwa kama mji mkuu wake tangu miaka ya 1700.

Port of Spain ni kitovu muhimu cha biashara katika maeneo ya Karibi, hasa kutokana na bandari yake na soko la hisa.

Kiutamaduni ni mashuhuri kwa kanivali yake.

  1. Trinidad and Tobago 2011 Population and Housing Census Demographic Report (PDF) (Ripoti). Trinidad and Tobago Central Statistical Office. uk. 26. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-10-09. Iliwekwa mnamo 27 Mei 2016. {{cite report}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.